Maana
yake ni kwamba mafaili hayo yapo humohumo kwenye flash disk lakini
yamekuwa hidden usiyaone..Sasa kama unataka kuyaona tena(kuya-unhide)
fuata maelekezo yafuatayo:
1.click
startbutton iliyopo kwenye desktop, then click run, halafu andika neno
cmd au command,baada ya hapo press enter..{black screen itafunguka hii
kitaalamu huitwa DOS au Disk Operating System)
Hapo
kwenye black screen andika Drive letter ya Flash disk yako kama
inavyosomeka kwenye computer kabla hujaifungua au baada yaku-click
mycomputer{mfano flash yangu inasomeka hivi (I:)MEEK },
2.Ntaandika F: halafu nita-press enter { NOTEHapo mbele ya I kuna full colon(:) na sio semi colon(;)}
3.Andika maneno attrib -r -a -s -h /s /d halafu press enter
4.Baada ya hapo nenda kaifungue tena flash yako mafaili yote ambayo yalikuwa hidden yataonekana!!!!
Monday, April 14, 2014
Un hide files that hiden from removable devices
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


















0 comments:
Post a Comment